Mamlaka ya masuala ya uchunguzi ya Jiji la Los Angeles kupitia kwa ofisa wake Thomas Noguchi ilitoa ripoti kwamba kifo chake ...
RAPA wa Marekani, Kendrick Lamar, 37, amefanya sana fujo katika ulimwengu wa muziki wiki hizi mbili akigonga vichwa vya ...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba Ellie Mpanzu, ameanza kujipata baada ya juzi kutupia bao la kwanza katika Ligi Kuu Baara, wakati ...
STAA wa Arsenal, Kai Havertz atakosekana uwanjani kwa kipindi chote cha msimu kilichobaki baada ya kupata tatizo la maumivu ya misuli wakati akiwa mazoezi kwenye kambi ya timu hiyo, huko Dubai.
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina'a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Irak akimfuata Simon Msuva ...
STAA wa soka, Sergio Aguero amelazimika kuangua kicheko cha aibu baada ya kuahidi kwamba atakata korodani zake endapo kama ...
ERIK ten Hag muda wowote simu yake inaweza kuita kwa ajili ya kupewa mchongo wa kwenda kuinoa Feyenoord ya huko kwao Uholanzi ...
ARSENAL majanga yanaendelea kuikumba timu yao baada ya straika wao Kai Havertz kuumia wakati wakiwa kwenye mazoezini huko Dubai.
KUMEKUCHA. Mastaa wa Manchester United wameanza kuhoji mfumo wa kocha wao Ruben Amorim wakimtaka bosi huyo Mreno kubadili staili yake ili mambo yaende sawa, imeelezwa.
WAZEE wa Mapigo na Mwendo, Mashujaa ya Kigoma imefikisha dakika 630 bila kuonja ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya juzi ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola bado anahitaji saini ya kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz, 21, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果