Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika kuwa na maambukizi hayo.
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesema imewabaini watu wawili kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox. Hii ni mara ya kwanza ugonjwa wa Mpox kuingia ...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati inayochukua kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa magonjwa katika vituo vya afya na ...
Kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika ,Africa CDC imetangaza kuwa uzalishaji wa chanjo ya Mpox katika ukanda,utaanza mwaka huu. Mkurugenzi wa Africa CDC Daktari Jean Kaseya ...
Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox nchini, ambapo hadi sasa watu wawili wameugua, mmoja wao akiwa dereva wa magari ya mizigo aliyetoka nchi jirani kuelekea Dar es Salaam. Kwa ...
Na Mohammed Ulongo Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la kuombea Amani na Uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 amewataka wanasiasa kutotumia lugha zisizofaa katika majukwaa lengo ...
Shirika la kimataifa la msaada ,Oxfam ,limeonya kuhusu ongezeko la maambukizo mapya ya magonjwa yanayoweza kuzuilika kama vile Kipindu Pindu ,MPOX na Surua katika eneo la Kivu Kaskazini ...
Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda w ...
La Organización Mundial de la Salud (OMS) anunció el jueves que mantendrá el nivel de alerta máxima por la epidemia de viruela del mono (mpox), ante el creciente número de casos y la expansión ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani Shirika (WHO), kupungua kwa kasi kwa ufadhili wa misaada ya maendeleo kunatishia mafanikio katika vita dhidi ya ugonjwa hatari zaidi wa Kifua Kikuu (TB).