Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati inayochukua kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ikiwa ni ...
Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika ...
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa ...
Dalili hizo ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo ...
Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox nchini, ambapo hadi sasa watu wawili wameugua, mmoja wao akiwa dereva ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya Mawasiliano ya Simu (Mobile World Congress 2025) unaofanyika katika mji wa Barcelona, Hispani ...
Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari ni pamoja na Rais wa DRC, Felix Tschisekedi, kuwataka raia wa nchi yake kuunga mkono mabadiliko ya katiba, , Chama tawala cha CCM nchini Tanzania ...