Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ...
Kenya imekuwa taifa la hivi karibuni zaidi kuitambua Kosovo kama nchi huru,hayo yameelezwa na rais wa Kosovo Vjosa Osmani ...
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi ...
Aba bagaba b'ingabo batanze raporo, irimo "mu buryo burambuye, ingamba z'igihe gito n'igihe kirekire" zo kugera ku mahoro ...
Umoja wa Mataifa umeonya juu ya kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini. Umesema hali hiyo inaweza kulirudisha taifa hilo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ...
Msemaji wa Kremlin amesema kwamba Urusi na Marekani kwa sasa wanachambua matokeo ya mazungumzo ya Saudi Arabia.
Tusimung'unye maneno, kinachotokea Sudan Kusini ni kile cha 2013 na 2016 Ni wakati wa kunyamazisha silaha na kuacha mapigano Tekelezeni ahadi mlizoweka kwenye Mkataba wa Amani Viongozi wa kikanda ...