Kauli ya Ruto ameitoa wakati wa kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za SADC na wale wa EAC kujadili hali ya mashariki ya ...
Marais wa Afrika wanawasiili jijini Addis leo kwa kikao maalum  cha umoja huo ambapo tamko la pamoja kuhusu hali mashariki ...
Rais wa DRC Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo. Na Asha Juma ...
MACHIFU watano wametekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera ...
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa jumuiya ya kanda ya Afrika Mashariki utawajumuisha viongozi ...
NAIBU Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais DRC,, Giscard Kusema, amesema Rais Félix Tshisekedi hatahudhuria mkutano wa EAC ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Mapigano katika mji uliozingirwa wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya takriban watu ...
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote ...